Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Parimatch yafanya maboresho, yaja na mfumo mpya

Friday , 8th May , 2020

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao na watanzania kiujumla wanaopenda kubeti kujumuika pamoja kucheza michezo yote ya Simulated Reality League, E-Sports, masumbwi na soka ambayo

ambayo inatarajiwa kurejea Mei 16 ikianza na Ligi ya Ujerumani ‘Bundesliga,’ kwa  kutumia intaneti kidogo.

Hayo yamebainishwa na Meneja Mkuu wa Parimatch Tanzania, Tumaini Maligana  wakati alipokuwa akizundua rasmi jukwaa hilo la kubashiri mtandaoni kupitia  https://parimatch.co.tz/sw/  na kusema kwamba imekuwa ni desturi yao kusikiliza maoni ya wateja wao kila mara na kuamua kuyafanyia uamuzi ili kusudi waweze kuwapatia kitu kilichokuwa bora wateja wao ambao hutumia muda wao ziada kujiburudisha akili zao na Parimatch.

“Tumefanya mabadiliko mazuri, tumerekebisha mambo mengi. Katika kipindi hiki ambapo watu wengi wapo nyumbani tumeona ni vyema kuwapa njia mbadala ya kupata burudani, kukaa ndani ni suala jema lakini pia kwa afya ya akili burudani ina nafasi yake. Wateja wetu wote watatumia taarifa zao za zamani kuingia  https://parimatch.co.tz/sw/  na wataiona Platform yetu mpya. 

Aidha, Maligana amesema katika maboresho hayo ambayo Parimatch imefanya katika kipindi hiki, yataweza kuwaruhusu watumiaji wa simu za android kuitumia kwa njia ya application kwa urahisi na ufanisi mkubwa zaidi.

Pamoja na hayo, Maligana pia aliwasisitizia wadau wa Parimatch kuendelea kufurahia kucheza Virtual game na michezo mingine mbalimbali kupitia tovuti yao ambayo itaweza kukuburudisha na kusisimua katika kipindi hiki cha Corona na hususani tukisubiri ligi nyingine zirejee.

Kwa upande mwingine, Parimatch imeendelea kuwa mkombozi mkubwa kwenye soko la michezo ya kubahatisha ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania, kwa kuweza kutoa betting zenye ubora, malipo ya papo hapo kwa haraka baada tu ya mchezo kumalizika bila ya kusahau huduma ya wateja bora ndani ya masaa 24 siku 7 za wiki kwa takribani miaka 25 hadi hivi sasa.
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava