Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nassari aomba radhi kwa hili, aishukuru CHADEMA

Wednesday , 8th Jul , 2020

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru kupitia CHADEMA Joshua Nassari, amewaomba radhi wale wote waliokuwa wakitamani kumuona yeye akiendelea kuwa upinzani, kwa kusema hawezi kuwa mnafiki, huku akikishukuru chama chake cha awali kwa kumlea tangu akiwa mdogo.

Joshua Nassari

Nassari ametoa kauli hiyo hii leo Julai 7, 2020, wakati akitangaza rasmi kuhamia CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James, na kuongeza kuwa atakuwa ni mnafiki kama ataendelea kumpinga Rais Magufuli kwa kuwa yale yote aliyokuwa akiyapigania yeye yamekwishakamilishwa.

"Ninawashukuru sana CHADEMA kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo leo hii, naomba Watanzania wote wanaonisikiliza kwa moyo wa dhati kabisa, wale ambao wanakwazwa kwa sababu walitamani kuniona nikiwa upinzani naombeni mnisamehe, siwezi kuendelea kuwa mnafiki roho yangu imekataa, sijaja kama mgombea na sijachukua fomu popote nimekuja kuunganisha nguvu" amesema Nassari.

Joshua Nassari alivuliwa Ubunge wake na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kutokana na vitendo vyake vya kutokuhudhuria vikao vitatu vya Bunge mwaka 2019.
 

HABARI ZAIDI

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba