Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tanzania yakabidhi uenyekiti SADC kwa Msumbiji

Thursday , 13th Aug , 2020

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi ameziomba nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kuitumia lugha adhimu ya Kiswahili katika shughuli zao za kila siku pamoja na kuiweka katika mitaala yao ya masomo shuleni.

Prof. Kabudi ametoa ombi hilo leo wakati akikabidhi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya SADC kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Msumbiji kwa njia ya mtandao akiwakilishwa na balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bi. Monica Clemente.

Tukio hilo limehudhuriwa na mawaziri na viongozi mbali mbali wa Jumuiya hiyo katika mkutano wa 40 wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC kwa njia ya kimtandao ikifanyika hivi kutokana na janga la corona ambayo limeikumba dunia.

Kwa upande wake Bbalozi wa Msumbiji nchini Tanzania akibainisha namna wanavyojindaa kubeba jukumu hilo la ungozi wa SADC baada ya Tanzania kumaliza kipindi chake.

Zoezi hili la kukabidhi kijiti limeanza tangu Agosti 10, 2020 na litahitimishwa na Rais Dkt John Magufuli Agosti 17 Jijini Dodoma ambaye ndiye kwa mwaka mzima alikuwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa mwaka mmoja tangu Agostit 20 mwaka 2019 akikabidhi kijiti hicho kwa Rais wa Msumbiji.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20