Sunday , 30th Aug , 2020

The Voice of Africa, Linex Sunday Mjeda amemtaka msanii Baba Levo kumuheshimu kufuatia kitendo cha kumpokea na kumsaidia kipindi alivyokuja Dar Es Salaam,  wakati huo hata yeye alikuwa hana ghetto bali alimuombea kwa rafiki yake ili wakae pamoja.

Linex upande wa kushoto na kulia ni Baba Levo

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital msanii Linex amesema "Hata ikitokea nimegombana na Baba Levo hakuna media wala mtu ambaye hataweza kuingilia ugomvi wetu, nilimpa imani kabla ya watu kumjua na hajaonekana niliamini kipaji chake, kitendo cha mtu kukupa nafasi ukae kwenye ghetto hali ya kuwa yeye mwenyewe sio ghetto lake ni kutendo ambacho Baba Levo anatakiwa akiheshim miaka yake yote ya sanaa, kama akikichukulia poa atakuwa hayupo sawa

Zaidi tazama hapa chini kwenye video