Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dada wa Shilole alivyoteseka kuolewa na Harmorapa

Wednesday , 2nd Sep , 2020

Dada wa msanii Shilole ambaye amejitambulisha kwa jina la Khadija Ziota ameeleza kuwa amepitia wakati mgumu na kuteseka wakati anataka kuolewa na msanii Harmorapa kwani mwanzo alikuwa anamkataa.

Msanii Harmorapa na mkewe Khadija Ziota

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Khadija Ziota amesema Harmorapa alikuwa ni mtu wa kumkimbiakimbia mpaka alipojaribu ku-force na kumuhangaikia hadi imewezekana wao kuoana.

"Harmorapa alikuwa mtu wa kunikimbiakimbia siku zote mpaka nilipojaribu ku-force na kumuhangaikia hatimaye imekuwa hivyo, alikuwa ananikataa kwa muda mrefu halafu haeleweki mara kugeugeua ila nimetumia nguvu nyingi sana na kupambana ili kumpata ikiwemo pesa

Kwa upande wa Harmorapa amesema sababu ya kumkataa mwanzoni mwanamke huyo ni kutokana na uzuri wa rangi yake na alikuwa haamini kama atakuwa peke yake.

Wanandoa hao wapya mjini wamesema wamemaliza fungate yao "honeymoon" na wapo tayari kujibu maswali ya watu ambao wanawauliza ikiwemo kufunga ndoa ya siri.

Zaidi tazama hapa chini kwenye video 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya