Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ifahamu migahawa ya ajabu kuwahi kutokea duniani

Saturday , 12th Sep , 2020

Zipo hoteli na migahawa mbalimbali duniani ambayo husifiwa kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na utamu wa vyakula vinavyouzwa, huduma zilizokidhi viwango, mazingira ilipo migahawa hiyo au hoteli hizo na mengine mengi. 

Migahawa ya ajabu duniani

Hii ni orodha ya migahawa mitatu ya ajabu duniani

Disaster Cafe ni mgahawa ulioko Hispania ndani hutokea tetemeko kubwa la aridhi la kipimo cha 7.8 jambo ambalo nje ya mgahawa huo alipo na maisha ya kawaida yanaendelea wahudumu huu wanavaa kofia ngumu za ujenzi na vifaa vya usalama.

Watu wanapohudumiwa tetemeko huanza na vyombo vinavyotumika havipasuki hata vikianguka chini kwa mtikisiko kinacho mwangika ni chakula tu kutoka kwenye vyombo hivyo watu hupenda kwenda kushuhudia maajabu hayo.

Opaque huu ni mgahawa ulioko Los Angeles maarufu kwa wapenzi, mazingira yake mazuri,  mishumaa pekee hutumika lakini cha kushangaza  ndani ni giza na wahudumu huvaa miwani maalumu ambayo inawawesha kuhudumia kwa kuwashika mikono na kuwaongoza mahali pa kukaa.

Mteja ana uwezo wa kunusa, kugusa au kusikia akiwa ndani huku ikielezwa kuwa lengo haswa la mgahawa huo ni kukuza uelewa kuhusu upofu.

Hadacker Such huu ni mgahawa ulioko west Hollywood Marekani ni maarumu kwa chakula aina ya 'such' mbapo mteja wa kiume akifika anahudumiwa chakula kikiwa juu ya mwili wa mwanamitindo wa kike ambaye yuko mtupu hivo hivyo kwa mteja wa kike huletewa chakula kwenye mwili wa mwanamitindo wa kiume ambaye pia yuko mtupu.

Chakula hicho kinawekwa juu ya jani la mgomba bila kugusa ngozi na sehemu nyingine ya mwili hufunikwa na maua usafi na maandalizi ni ya hali ya juu, pia watoto hawaruhusiwi kuingia.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya