
Msanii Enock Bella na gari lake
Enock Bella amesema hiyo ni gari yake ya pili kutumia na hawezi kutaja bei aliyonunua kwani watu watajua kama ana mkwanja mwingi hivyo wanaweza kumfanyia vitu vya uswahili.
"Sitaki kutaja bei kwa sababu yamenikuta, haya magari ni kama mabati tu japo hii gari yangu niliichukua kwa mtu, siwezi kutaja bei kwa sababu watu watajua napiga pesa waniroge, kila binaadama anarogwa lakini kuna kuzidiana kwenye kurogwa, unaweza ukaenda kwa mganga anakwambia kitu kinachokuharibia ni gari hivyo ichomwe moto" ameeleza Enock Bella
Zaidi mtazame hapa chini akizungumzia suala hilo.