
Kikosi cha Yanga cha msimu wa mwaka 2020-2021.
Sababu inayoaminika kuufuta mchezo huo, ni kutokana na ukweli kuwa, baadhi ya wachezaji wa Yanga watalazimika kujiunga na kambi ya timu ya taifa ya Taifa Stars Juni 5, 2021 siku moja kabla ya tarehe ya awali ya mchezo huo iliyopangwa.
Ujumbe wa Yanga kwenye ukurasa wao wa Instagram unasomeka kuwa;
“Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya African Lyon. Uliopangwa kuchezwa Jumapili uwanja wa Azam Camplex umefutwa”.
“Klabu ya Yanga inaomba radhi kwa wanachama, wapenzi na wadau wengine wote ambao wataathirika kwa namna moja au nyinginr kutokana na kufutwa kwa mchezo huo”.