Saturday , 3rd Jul , 2021

Tangu mwaka 2015 vilabu vya Simba na Yanga vimekutana mara 11 katika michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara na takwimu zinaonyesha hakuna mbabe kati yao na katika michezo hiyo 11,Simba imeshinda mara 3 nayo Yanga imeshinda mara 3 huku sare ikijitokeza mara tano.

Winga machachari wa Simba, Luis Miquissone akijaribu kupenya mbele ya washambuliaji wa Yanga Tuisila Kisinda na Farid Musa katika moja ya mchezo wa VPL waliokutana hivi karibuni.

CHUKUA TAKWIMU HIZI

Septemba 20,2015

Simba 0-2 Yanga

.

Februari 20,2016

Yanga 2-0 Simba

.

Oktoba Mosi, 2016

Yanga 1-1 Simba

.

Februari 25, 2017

Simba 2-1 Yanga

.

Oktoba 28,2017

Yanga 1-1 Simba

.

April 29,2018

Simba 1-0 Yanga

.

Septemba 30,2018

Simba 0-0 Yanga

.

Februari 16, 2019

Yanga 0-1 Simba

.

Januari 4,2020

Simba 2-2 Yanga

.

Marchi 8,2020

Yanga 1-0 Simba

Je leo yupi ataongeza idadi ya mechi za ushindi katika VPL baina ya wababe hawa wawili wa soka nchini?