Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu ya pato la Taifa kuongezeka yatajwa

Friday , 6th Aug , 2021

Pato la Taifa kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2021 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 38.0 kutoka shilingi trilioni 36.4 katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2020.

Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Daniel Masolwa

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Daniel Masolwa, jijini Dodoma na kusema kwamba shughuli za uchimbaji wa madini na mawe ziliongoza kwa kuwa na kiwango cha juu cha ukuaji hali iliyopelekea pato kupanda.

"Katika kipindi cha robo ya kwanza 2021, shughuli za uchimbaji madini na  mawe ziliongoza kwa kuwa na kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa asilimia 10.2 ikifuatiwa na Habari na Mawasiliano asilimia 9.1, uchukuzi na uhifadhi mizigo 9.0%, maji safi na majitaka 9.0%, huduma za kitaalam, sayansi na ufundi 7.8%, huduma zinazohusiana na utawala 7.4% na umeme 7.2%," amesema Masolwa.

Aidha, Masolwa amefafanua kwamba ukuaji wa Pato la Taifa katika kipindi hicho Masolwa amesema kuwa  pato  la Taifa katika robo ya kwanza ya mwaka 2021 ni asilimia 4.9 ukichangiwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi zilizofanyika katika kipindi hicho.

HABARI ZAIDI

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri