Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Akizungumza na wananchi wa mkoani humo mara baada ya kutembelea ujenzi wa hospitali hiyo Waziri Mkuu Majaliwa pia ameagiza kuanzia sasa ujenzi wa hospitali hiyo urejeshwe mkoani na sio wizarani kama ilivyo sasa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, hajaridhishwa na ujenzi wa Hospitali ya mkoa wa Katavi ambao ulianza tangu 2018 na hadi sasa umekamilika kwa asilimia 48 tu na kumuagiza Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, kubaki mkoani humo ili kubadilisha mfumo wa ujenzi wa hospitali hiyo.