Friday , 1st Oct , 2021

Mkurugenzi wa Tehama Tanzania, Mulembwa Munaku amesema kuwa kutokana na mapinduzi ya Teknolojia ya Tehama nchini kumerahisisha mambo mengi kwenda kidijitali kutokana na kutumika kwa mifumo mipya ya Tehama.

Picha ya Mkurugenzi wa Tehama Tanzania, Mulembwa Munaku

Akizungumza kupitia Supa Breakfast ya East Africa Radio, Munaku amesema wabunifu wa Tehama wameweza kubuni mifumo mbalimbali (Application za simu) ikiwemo ya Mahakama ambayo itamsaidia mwananchi kufuatilia mwenendo wa kesi akiwa sehemu yoyote.
 

Msikilize Zaidi hapa