
Awadhi Matondo, kijana anayetafutwa
Taarifa zimeeleza kwamba kati ya wanafunzi hao watano mmoja alijiokoa mwenyewe, watatu waliokolewa na mmoja wao alifariki dunia na wawili hali zao zinaendelea kuimarika lakini Awadhi hadi leo bado hajapatikana.
Hivyo familia ya Awadhi imesema kwa yeyote atakayefanikiwa kumuona ama kuuona mwili wake apige simu kwenda namba 0754318762 au 0787332246.