Saturday , 18th Dec , 2021

Bodi ya Ligi Kuu soka Tanzania bara TPLB imetoa sababu ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Kagera na Simba SC uliokuwa uchezwa leo Disemba 18, 2021 Saa 10:00 Jioini katika Dimba la Kaitaba Mkoani Kagera.

Mchezaji wa Simba Hassan Dilunga kushoto akiwania mpira dhidi ya Ally Mtoni wa Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu msimu uliopita

Taarifa ya Bodi imeeleza sababu za mchezo huo kuahirishwa ni za kitabibu kutokana na wachezaji 16 wa klabu ya Simba kuwa wagongwa kati ya wachezaji 22 waliosafiri na kikosi hicho kwenda Mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo huo.

Zaidi taarifa ya TPLB imeeleza sababu za mchezo huo kutochezwa kwa kuhusisha na sababu za kikanuni,

 

Taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya ufafanuzi wa kuahirishwa kwa mchezo wa Kagera Sugar dhidi ya Simba SC