Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Justine Masejo
Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 24, 2022, wakati akipokea kituo kidogo cha polisi Kisongo kilichojengwa na Taasisi ya Umoja wa Mataifa IRMCT Arusha, na kusema kwamba upo umuhimu wa watu kufika mahakamani pale wanapohitajika.


