Wanajeshi
Jeshi hilo pia limeeleza kwamba limeharibu pia helikopta 8, vifaru 102, magari ya kivita 536 pamoja na kuharibu mifumo 15 ya mizinga.
Ambapo licha ya Ukraine kutoa madai hayo, lakini bado nchi ya Urusi haijabainisha vifo wala idadi ya majeruhi wake.



