
Picha ya Barakah The Prince na mzazi mwenziye Careen Simba
Careen Simba ambaye pia ni video vixen anasema "Mimi na Barakah tulijuana muda mrefu sana, mimi mpaka nabeba mimba tukaachana na Barakah na kuzinguana kwa sababu ya Naj, sikuwa mchepuko nilikua mwanamke wake".
Careen Simba ameongeza kusema wakati yupo kwenye mahusiano na Barakah hawakutaka kuweka wazi kwa sababu hapendi mambo ya kujulikana sana.