Picha ya Esther Uzodinma
Akieleza juu ya suala hilo mwanamke huyo ametaja sababu ambazo anahisi labda zinafanya wanaume wasimtongoze au kumkwepa kama rangi ya ngozi yake, pua au mdomo.
Mrembo na msanii wa filamu Esther Uzodinma kutoka Nigeria amelalamika kwamba wanaume hawamtongozi wala kuwa karibu naye huku akijiuliza kwamba havutii.