
wachezaji wa Simba na Yanga.
Mchezo huo utakuwa kama kisasi kwa kuwa katika mechi zote mbili za msimu huu walizokutana zilimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Julai 12 mwaka 2020 walikuwa katika mchezo wa robo fainali kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo waliibuka na ushindi wa mabao 4-1.
Katika mchezo huo tutahakikisha tunapata ushindi na kutinga fainali ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutetea taji letu.