
Kauli hiyo ameitoa wakati alipotembelea Mgodi huo na kukutana na kero hiyo ya wafanyakazi kukatwa fedha za NSSF na makato hayo kutokufika mahala husika kwani kwa kushindwa kupeleka makato hayo kunawanyima haki wafanyakazi kupata huduma zao za msingi awapo kazini na Mara baada ya kustafu anakosa stahiki zake.
Awali wakizungumza baadhi ya viongozi wa vijiji walilalamikia Mgodi huo kuto kushirikiana na vijiji vinavyozunguka mgodi huo kwa kushindwa kutoa huduma za kijamii pamoja na kutokutimiza makubaliano na baadhi ya
Aidha Meneja wa Mgodi wa Cata Mining akizungumza kazi zinazofanywa na Mgodi huo na kusema.wamekuwa wakitenga fedha za kusaidia jamii inauoizunguka