Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Auawa wakati akigombana na mke wake 

Thursday , 19th May , 2022

Mchimbaji mdogo wa madini katika Kitongoji cha Namba 2 Mwakitolyo wilaya ya Shinyanga Jackson Joseph, ameuawa kwa kupigwa risasi alipotaka kumnyang'anya bunduki mlinzi wa kampuni ya Right Security aliyekwenda kuamua ugomvi kati ya marehemu na mke wake na ndipo risasi iikamfyatukia tumboni.

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga, George Kyando

Ambapo kufuatia kifo hicho, wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi na kwenda kuvunja ofisi ya kitongoji, nyumba ya Mwenyekiti na kuchoma moto pikipiki ya Kamanda wa sungusungu kwa madai ya kuchoshwa na manyanyaso ya viongozi wao.

Kufuatia tukio hilo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Namba 2  Shaban Zoro, akakanusha madai yaliyotolewa na wananchi, huku Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga Boniface Chambi, akauvunja  uongozi wa Kitongoji cha Namba 2 na Jeshi la jadi sungusungu.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga George Kyando,amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi na kuharibu mali za umma.

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava