Saturday , 11th Jun , 2022

Msanii Official Sultanaa ameweka wazi kupenda wanaume wazee kuanzia miaka 50 na kuendelea kwa sababu wanajua kutunza, wametulia na hawana mambo mengi.

Picha ya Official Sultana akifanyiwa mahojiano

Sultanaa amesema hayo kupitia EATV & EA Radio Digital, zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.