
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba
Kauli hiyo ameitoa hii leo Juni 14, 2022 Bungeni jijini Dodoma, wakati akiwasilisha hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa ajili ya kutoa nafasi kwa wabunge waijadili.
"Ninawaomba wajiandae kwa hotuba ya bajeti ambayo nitarudi nayo leo Alasiri ambayo itakuwa imebeba matumaini ya Watanzania,"amesema Waziri Nchemba