Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Msigwa aeleza jinsi ambavyo Rais Samia halali

Sunday , 14th Aug , 2022

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono na kumtia moyo Rais Samia, kwani halali akihangaika kwa ajili ya shida za Watanzania.

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

Kauli hiyo ameitoa hii leo Agosti 14, 2022, mkoani Tabora wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali na shighuli zingine zenye kuliletea tija Taifa.

"Achaneni na maneno ya watu wanaochochea hivi na hivi Mh. Rais Samia halali,  sisi ambao tunaomsaidia tunaona jinsi ambavyo halali akihangaika kwa ajili ya shida za Watanzania, sisi tutakuwa watu wa ajabu sana Mh. Rais halali anahangaika na sisi halafu kunaa mtu mmoja anakuja anasema vitu vya ajabu ajabu tumuunge mkono, tuwakatae watu wa namna hiyo, tumtie moyo Mama aendelee kupiga kazi atutafutie mambo mazuri," amesema Msigwa

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava