
Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela akiwa kwenye ukaguzi wa mradi
na kusababisha watumishi wa halmashauri hiyo kutumia majengo ya hospital kutokana na kucheleweshwa kwa ujenzi huo unaojengwa na Jeshi la kujenga Taifa JKT kwa gharama ya shilingi bilioni 4.1.
Shigela ameyasema hayo wakati anakagua ujenzi huo ambapo amesema nivyema taasisi za umma zinapo kabidhiwa miradi zihakikishe zinatekeleza kwa wakati ili ziweze ili zizidi kuaminika.
Zaidi tazama Video hapo chini.