
Nyumba iliyoungua
Akizungumza katika eneo la tukio Afisa Oparesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dodoma, Inspekta Deugratius Inano, amesema chanzo cha moto huo ni kuvuja kwa gesi ambayo hewa yake ilikutana na joto la mkaa.
Akizungumza kwa niaba ya familia iliyounguliwa nyumba Robert Mwalugeni, ameeleza alichokiona kabla ya moto kutokea.