Liz Truss, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza
Liz Truss ametangazwa rasmi hii leo Septemba 5, 2022, kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kupitia chama cha Conservative, baada ya kupata kura 81,326 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Rishi Sunak aliyepata kura 60,399.