
Uingereza pekee kesi 161 za ugonjwa huo hatari wa mafua ya (HPAI) ziligundulika kwenye mifugo jamii ya ndege na kupelekea kuteketeza mifugo milioni 3.2 .
Hiyo inakua ni rekodi kubwa kulinganisha na ya awali ya mwaka 2020/21 ambapo kulikua na kesi 26 pekee.
Serikali Ya Uingereza imesema kwamba ndege walioteketezwa ni idadi ndogo sana ya ndege milioni 20 kwa wiki .
Homa ya mafua ya Avian imesharipoti visa 1,727 katika aina 59 za tofauti za jamii ya ndege.