Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kilimo cha umwagiliaji hakikwepeki Tanzania

Monday , 28th Nov , 2022

Kufuatia serikali kupitia wizara ya kilimo kutangaza kusambaza vyakula kwa wilaya 41 nchini ili wananchi kuvipata kwa bei nafuu nimelazika kufika katika soko la Tandale na kuzungumza na wafanyabiashara wa mazao ambao wamesema kuwa bado hakuna unafuu wa bei kwa mazao nyeti ya chakula

Hali ya uwepo wa ukame kwa baadhi ya maeneo nchini wafanyabiashara wa nafaka wanaueleza kama somo ambalo seerikali inapashwa kulichukua ili kuchagiza kwa kasi kilimo cha umwagiliaji ambacho kitakuwa suluhu kwa watanzania wakibainisha kuwa Tanzania iko na mabonde mengi kila ukanda hivyo leo isingehangaika na uhaba wa mazao.

Hata ivyo wauzaji wa mchele na maharage sokoni hapo wamesema usafirishaji bado uko juu hadi 13000 kutoka 12000 kwa gunia ikisafirishwa kutoka mbeya wakibain isha hali ni ngumu kwa wananchi wa kima cha chini.

Hivi karibuni wizara ya kilimo kupitia kwa naibu waziri wake Antony Mvunde ilisema kuwa serikali imetenga shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kuanza miradi ya umwagiliaji ili kuwaondoa wakulima katika hatari ya mabadiliko ya tabia nchi.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa