
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa maagizo hayo wakati anazungumza na wanahabari kuhusu ongezeko la vitendo vya ukatili ikiwemo mauaji
Aidha Homera amesema katika kuhakikisha wanadhibiti vitendo vya uhalifu mkoani Mbeya, tayari wamekamata watu watatu kwa tuhuma za kughushi hati mbalimbali zikiwemo za kumiliki ardhi.