Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa leo Februari 26, 2023 imeeleza mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa na Rais kama inavyosomeka hapo chini.
#HABARI Rais @SuluhuSamia amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Waziri, Naibu Waziri, Wakuu wa Mikoa, Makatibu wakuu na Manaibu Katibu Mkuu pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi huku viongozi wengine wakihamishwa vituo vya kazi. pic.twitter.com/zZPRYnM79P
— EastAfricaRadio (@earadiofm) February 26, 2023





.jpg?itok=5cvL0YaP)