
Huu unakuwa ni mchezo pekee kwa sasa nchini Tanzania ambapo mshindi anaweza kupata kiasi kikubwa ndani ya dakika kumi tu. Mchezo wa Supa tano pia unakuwa ni mchezo pekee wenye kutoa fursa nyingi zaidi zaushindi hapa nchini.'
Supa Tano ni mchezo mpya wa namba ambao wachezaji wanaweza kuchezaviwango mbalimbali kati ya shilingi 1000 mpaka 20,000. Mchezo unatoa nafasi ya kushinda hadi mara 10,000 ya dau uliloweka, ambacho ni kiasi kikubwa kuliko mchezo wowote Tanzania' anasema Bwana Jacob Millinga, Meneja wa Fedha wa The Network.
Kupitia Supa Tano mchezaji anapata nafasi nyingi zaidi za ushindi, kwani kila namba anayolinganisha analipwa kuanzianamba 2, 3, 4 au namba 5 kwenye droo za kila dakika 10, na wakati huo huo kila shilingi 1000 yake inampa nafasi ya kuingia kwenye SupaMzuka Jackpot siku za Jumapili na Jumatano.
Mchezaji anacheza kupitia simu yake ya mkononi kwa kutuma shilingi 1,000 kwenda namba ya kampuni ambayo ni 551551 ikifuatiwa na kumbukumbu namba ambazo zitakuwa namba zake 5 za bahati kati ya 09, na kamaameshinda anatumiwa kiwango cha pesa cha ushindi wake moja kwa mojakwenye namba yake ya simu' alifafanua balozi wa Supa 5, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa.
Mchezo wa Supa 5 unaendeshwa kwa uwazi na usimamizi wa serikali kupitia Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Matokeo yote ya washindi na zawadi walizoshinda yatawekwa kwenye tovuti ya: www.supatano.co.tz.
Akizungumza wakati wauzinduzi huo mwakilishi wa bodi ya michezo ya kubahatisha tanzania (gbt) amesema mchezo wa supa 5unaongeza fursnyingine za ushindi kwa watanzania lakini ni muhimu kwa wachezaji kucheza kwa ustaraabu bila kutumia pesa ya matumizi muhimu kwenye mchezo huu.
Kuhusu Supa 5
Supa 5 ni mchezo mpya wa namba ambao wachezaji wanaweza kucheza viwangombalimbali kati ya shilingi 1000 mpaka 20,000 ili kushinda mara 10,000 ya kiasi ulichoweka kila baada ya dakika 10.
Huu ni mchezo pekee kwa sasa nchini Tanzania ambao unaweza kushinda kiasi kikubwa ndani ya droo za dakika 10.
Kwa kucheza shilingi 1000, kama mchezaji atapatia namba zote tanoatashinda milioni 10 au kama akiweka dau la 20,000 atapata 200,000,000.
Kwa kufahamu namna ya kucheza na maelezo zaidi tembelea tovutiya:www.supatano.co.tz, au piga simu namba: 0659 070 070 kuzungumza na watoa huduma kwa wateja wetu.