Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sakho aitwa timu ya Taifa ya Senegal

Friday , 17th Mar , 2023

Kwa mara ya kwanza Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pape Ousamn Sakho ametajwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya nchi hiyo, tangu alipojiunga na Simba SC ya Tanzania mwanzoni mwa msimu uliopita.

Kocha Mkuu wa Senegal Khalou Cisse amemtaja kiungo huyo katika kikosi chake ambacho mwishoni mwa juma lijalo kitaendelea na mchakato wa kusaka nafasi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ kwa kuikabili timu ya taifa ya Msumbiji.

Sakho anaungana na wachezji wengine wanaocheza katika nafasi za Ushambuliaji walioitwa katika kikosi cha Senegal kama Nahodha Sadio Mane ( FC Bayern Munich), Boulaye Dia (Salerntana), Habib Diallo (Strasbourg), Bamba Dieng (Lorient), Iliman Ndiaye (Sheffield Utd) na Pape Ousmane Sakho (Simba SC)

Wachezaji wengine waliotajwa kwenye kikosi cha Senegal upande wa  Walinda Lango: Seny Dieng (Opr), Alfred Gomis (Como) na Mory Diaw (Clermont)

Mabeki: Youssouf Sabaly (Betis Seville), Noah Fadiga (Brest), Kalidou Koulibaly (Chelsea), Formose Mendy (Amiens), Abdoulaye Seck (Maccabi), Moussa Niakhate (Nottingham), Ismail Jakobs (Monaco) na Abdallah Ndour (Sochaux)

Viungo: Gana Gueye (Everton), Nampalys Mendy (Leicester), Pape Gueye (Seville), Pathe Ciss (Vallecano), Pape Matar Sarr (Tottenham) Na Dion Lopy (Reims)

Senegal itacheza dhidi ya Msumbiji mjini Dakar katika Uwanja wa Diamniadio Olympic Machi 24, kisha itacheza ugenini mjini Maputo katika Uwanja wa do Zimpeto, Machi 28.

Senegal inaongoza msimamo wa Kundi L ikiwa na alama 06, ikifuatiwa na Msumbiji yenye alama 04, Rwandsa ipo nafasi ya tatu ikiwa na alama 01 na Benin inaburuza mkia ikiwa imepoteza michezo yote hadi sasa.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP