
Pichani Nandy na Zuchu
"Kiukweli siwezi kumshauri Zuchu kwenye mitandao kwasababu tunashauriana vitu vingi sana ushauri wangu mwingi na wake ninao mwingi kuhusu ndoa hata kwangu ilikuwa kama surprise lakini kwenye shughuli nitakuwepo" Amesema Nandy
"Bado sijapata pete yangu na nisingekuwa na Billnass wakati inapotea shida ingekuwa kubwa sana na Mungu alinisaidia,Atakaye niletea (Pete) nitampatia milioni 10 sio kwasababu inauzwa zaidi ya hapo bali ina memory kubwa kuliko wanavyodhania'' Amesema Nandy