Thursday , 19th Feb , 2026

Muigizaji Mutrah anasema wanawake ndio wanastahili kupewa zawadi katika siku hii ya wapendanao na itawaumiza ikitokea hawajapata kutoka kwa wanaume zao.

Picha ya muigizaji Mutrah

“Sisi wanaume ndio inafaa zaidi kuwapa zawadi wanawake, Mwanamke akikupa una appreciate japo hatuchukulii kwa ukubwa sana kama wao, kwahiyo tusipowapa inawaumiza” - Mutrah

Pia ameongeza kusema yeye mwanamke wake ni mmoja tu na ana uhakika kwamba ameshapostiwa katika kuadhimisha siku hii ya wapendanao.