Thursday , 2nd Apr , 2015

Mtibwa Sugar imewazawadia ndugu zao Kagera Sugar bao moja na kupelekea Kagera kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.