Itengwe siku kuomboleza waliofariki Oktoba 25-Jaji
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imependekeza Serikali itenge siku ya maombelezo ya kitaifa kuwakumbuka watanzania zaidi ya 500 waliofariki katika ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu.

