Wahamiaji haramu kuendelea kuondoshwa Marekani Mahakama ya Juu ya Marekani imeruhusu utawala wa Rais Donald Trump kuanza tena kuwaondoa wahamiaji na kuwapeleka katika nchi nyingine mbali na kuwarejesha makwao. Read more about Wahamiaji haramu kuendelea kuondoshwa Marekani