Watu 30 hawajulikani walipo Nigeria Zaidi ya watu 30 hawajulikani walipo Kaskazini Mashariki mwa jimbo la Borno nchini Nigeria, baada ya kushambuliwa na vikosi vya watu wenye silaha week end iliyopita. Read more about Watu 30 hawajulikani walipo Nigeria