Ruvuma yakamilisha ujenzi wa jengo la EMD
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya maboresho katika sekta ya afya na kuhakikisha wananchi huduma katika vituo vya afya zinatolewa kwa wakati na zenye ubora nchini.