Mama yake Elon Musk bado mwanamitindo Maye Musk katika jarida la 'Sports Illustrated Swimsuit' Licha ya mtoto wake kuwa tajiri namba 1 Duniani, haimzuii Maye Musk mama mzazi wa Elon Musk kuendelea na kazi ya mitindo akiwa na umri wa miaka 74. Read more about Mama yake Elon Musk bado mwanamitindo