CHADEMA wasisitiza kutowatambua kina Mdee
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimefafanua hatua walizozipitia hadi kufikia uamuzi wa kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalum (CHADEMA), huku wakisisitiza kuwa hawataingilia taratibu zinazoendelea Mahakamani.