Haji Manara ''Sare zilitupa presha'' Afisa Habari wa Yanga Haji Manara Afisa Habari wa Yanga Haji Manara amesema kuwa sare tatu mfululizo ambazo walizipata ziliwapa presha kidogo jambo ambalo liliweza kuwafanya wajipange kwa mara nyingine. Read more about Haji Manara ''Sare zilitupa presha''