Ruvuma wazindua Maabara ya kupima Udongo
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibunge amezindua Maabara ya upimaji wa afya ya Udongo na utoaji wa mafunzo kwa wakulima ambapo upimaji huo utamsaidia mkulima kuacha kulima kwa mazoea na kulima kilimo chenye tija