Waziri Mkuu atoa maagizo baada ya kutembelea MSD

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS