NBA mtoano wafikia patamu, Embiid atikisa
Michezo miwili ya nusu fainali kwenye mitoano ya ligi kuu ya kikapu nchini Marekani ziliendelea Asubuhi kwa timu za Philadelphia 76ers na Dallas Mavericks kupata ushindi na kufanya michezo yao kuwa 2-2 kati ya mechi 4 za NBA walizokutana.