Alcaraz amvua ubingwa wa Madrid Open, Zverev

Carlos Alcaraz Bingwa Madrid Open 2022

Kinda wa Hispania Carlos Alcaraz ameshinda ubingwa wa michuano ya wazi ya Tenisi ya Madrid (Madrid Open) jana usiku Mei 8, 2022. Baada ya kumfunga bingwa mtetezi wa michuano hiyo mjerumani Alexander Zverev kwenye mchezo wa fainali kwa seti 2 mfululizo 6-3 na 6-1.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS