Rais Samia atoa maagizo kupanda kwa bei ya mafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Read more about Rais Samia atoa maagizo kupanda kwa bei ya mafuta