Kijana amuua 'Ex' darasani kisa mwanaume mwingine
Polisi nchini Kenya wanamshikilia mwanafunzi wa kidato cha tatu aitwaye Tony Kiptoo (19) kwa kosa la kumuua kwa kumchoma na kisu wakiwa darasani aliyewahi kuwa mpenzi wake na wakaachana Irene Chelagat (22), baada ya kugundua amepata mwanaume mwingine na amemnunulia simu janja (Smartphone).