Wakorea Saba kunyang'anywa Passport
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza idara ya uhamiaji mkoa wa Mwanza, kuzichukua hati za kusafiria za raia saba wa nchi ya Korea wanaojenga Meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, ili wasiondoke nchini hadi ujenzi huo utakapokamilika.